Date Range
Date Range
Date Range
Play better, run better, live better. Wednesday, June 16, 2010.
Akiolojia imeweza kuthibitisha uwepo wa miji, watu, matukio na mambo mbalimbali yanayotajwa kwenye Biblia. Japokuwa tunamwamini Mungu kwa imani pekee, lakini akiolojia imesaidia kuthibitisha tena na tena kwamba Biblia ni Neno la kweli la Mungu aliye hai. Jeneza la Kuhani Mkuu Aliyesimamia Hukumu ya Yesu Lagundulika. Kayafa alikuwa ni kuhani mkuu wa Wayahudi kuanzia mwaka 27 hadi 36 baada ya Kristo. Alikuwa ni adui mkubwa wa Yesu Kristo. 59 Basi wakuu wa makuhani n.
Wednesday, June 10, 2015. Kati ya watu wanaowasumbua sana ndugu zetu Waislamu ni shujaa wa Bwana Yesu, Mtume Paulo. Na hii haikuanza kwa Waislamu pekee, bali kuanzia kwa washika torati waliokuwako wakati wake, yaani mafarisayo, wakuu wa makuhani, waandishi pamoja na Wayahudi wa kawaida waliofuata dini ya Kiyahudi. Waislamu wanaendeleza tu ili roho ya upinzani dhidi ya Injili iokoayo ya Bwana wetu Yesu Kristo.
POmm3s-De-t3rres super-heros patatoes Choup ette.
Retape dans le champ ci-dessous la suite de chiffres et de lettres qui apparaissent dans le cadre ci-contre.