Date Range
Date Range
Date Range
Kite kene memulakannya dengan SATU keputusan. Semuanya bergantung pd diri kite sendiri. dlm apa jua perkara yang kite hendak lakukan.
Thursday, August 6, 2015. HATIMAYE PROF LIPUMBA AACHIA NGAZI RASMI NAFASI YAKE YA UENYEKITI KATIKA CHAMA CHA WANACHI CUF. Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Haruna Lipumba. Hatimae mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF professor Ibrahim Haruna Lipumba ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti katika chama cha wanachi CUF. Amesema dhamira yake imemsuta hivyo hawezi kuendelea kuwepo katika nafasi hiyo na hivyo ameamua kuwa mwanachama wa kawaida. Iliripotiwa jana kuwa prof .