Date Range
Date Range
Date Range
JE HAKI YA MWANAMKE IKO WAPI? Naitwa ELIETH SEKIKU, NI mtangazaji wa Radio Fadeco iliyoko Wilaya Karagwe Mkoa Kagera Tanzani. Katika Radio hii natayarisha kipindi cha jukwaa la Mwanamke ndio maana nimeamua kuleta mada hii ya je haki ya mwanamke iko wapi? Hapo haki iko wapi. Mimi naona tutazidi kukandamizwa mpaka mwisho hata sheria hazilindi mwanamke kikamilifu. Saturday, June 05, 2010. Mahuaji ya albino kwa Mkoa wa Kagera. This project is intended to raise the awareness among t.
Friday, October 30, 2009. Kufuatia mauwaji ya alubino mbunge ajitolea kuwajengea nyumba bora na imara. MAUWAJI ya maaalubino hapa nchini Tanzania yalianza kusikika mwishoni mwa mwaka 2007 hali ambayo ilionekana kutikisa nchi kwa kuwauwa binadamu kama mnyama ambae ni kitoweo. Muheshimiwa Kwegyir alipowatembelea walemavu wa ngozi waliopo wilaya ya Musoma vijijini alibaini kuwa ili kuthibiti mauwaji hayo kitu cha kwaniza ni ktafuta mbinu za walemavu hao kupata nyumba bopra za kuishi.
Salut vou voici sur mon blog . Ces jument, c lé plu cool. Voici Guytha, Quipolis puis Célia.